TUMEHAMA / WE HAVE MOVED

TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI YETU MPYA WWW.JAMIIPRODUCTION.COM (bofya hapa)

PLEASE VISIT OUR NEW WEBSITE WWW.JAMIIPRODUCTION.COM (click here)

TUMEHAMA. TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI YETU MPYA WWW.JAMIIPRODUCTION.COM..........WE HAVE MOVED. PLEASE VISIT OUR NEW WEBSITE WWW.JAMIIPRODUCTION.COM

Mjadala wa rasimu ya Katiba DMV

Karibu katika sehemu ya kwanza na ya pili  za mjadala uliohusisha BAADHI viongozi na wanaharakati wa siasa waishio Washington DC

Katika sehemu hii, wachangiaji ni viongozi wa CHADEMA tawi la Washington DC ambao wameeleza mtazamo wao na wa chama chao kuhusu rasimu hiyo.


Viongozi hao ni Mwenyekiti wa Tawi Ndg. Kalei Pandukizi, Katibu wake ambaye pia ni Afisa Habari Bwn Liberatus Mwang'ombe na Mweka Hazina wa Tawi Bwn. Ludigo Mhagama

Katika sehemu ya pili waliungana na mwanaharakati wa chama cha CUF ambaye pia ni mmoja wa waasisi na Katibu wa Zanzibar Diaspora USA Bwn. Shamsi Abdul

Karibu uungane nasi

No comments:

Post a Comment