Katika kipindi hiki cha kwanza, Georgina anaungana na wageni wake Bwn Hezekia Mwalugaja na Bwn Jacob Merere kuiangalia FAMILIA kwa mtazamo wa nyumbani Tanzania na hapa.
Hiki ni kipindi cha kwanza na kimoja kati ya vingi vitakavyokujia kutoka kituo hiki cha kijamii
No comments:
Post a Comment