TUMEHAMA / WE HAVE MOVED

TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI YETU MPYA WWW.JAMIIPRODUCTION.COM (bofya hapa)

PLEASE VISIT OUR NEW WEBSITE WWW.JAMIIPRODUCTION.COM (click here)

TUMEHAMA. TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI YETU MPYA WWW.JAMIIPRODUCTION.COM..........WE HAVE MOVED. PLEASE VISIT OUR NEW WEBSITE WWW.JAMIIPRODUCTION.COM

Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...Majukumu ya Baba katika Familia

Karibu katika kipindi hiki cha FAMILIA kutoka Jamii Production.
 
Katika kipindi cha wiki hii, mjadala wa WAJIBU WA BABA KATIKA FAMILIA umefungua mfululizo wetu wa mijadala kuhusu wajibu wa mzazi kwa familia yake..

Pichani: Muendeshaji wakipindi cha Familia Dada Ndeletwa C. Lema, Mubelwa bandio Abou Shatry na Mgeni wetu katika mjadala huu Isidory Lyamuya
Mbali na washiriki waliokuwemo studio, pia tumeshirikisha maoni toka kwa wasikilizaji wetu wapendwa waliyotoa kwenye ukurasa wa Facebook


Karibu uungane nasi


No comments:

Post a Comment