TUMEHAMA / WE HAVE MOVED

TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI YETU MPYA WWW.JAMIIPRODUCTION.COM (bofya hapa)

PLEASE VISIT OUR NEW WEBSITE WWW.JAMIIPRODUCTION.COM (click here)

TUMEHAMA. TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI YETU MPYA WWW.JAMIIPRODUCTION.COM..........WE HAVE MOVED. PLEASE VISIT OUR NEW WEBSITE WWW.JAMIIPRODUCTION.COM

Mahojiano na Faria Zam kuhusu msaada wa watoto walemavu Zanziba

Pichani: Faria Zam muazilishi wa Hilmy Disability Charity Organisation nchini Uingereza akihojiwa na Abou Shatry wa Jamii Production Washington DC

Karibu katika ya mahojiano na Jamii Production na Faria Zam a.k.a Ferry Butcher ambae ni muazilishi wa kusaidia watoto walemavu Zanzibar kupitia (Hilmy Disability Charity Organisation) kutoka nchini Uingereza pale alipopata fursa ya kuhojiana na Abou Shatry kuhusu maswali mbalimbali ya kusaidia watoto wa walimavu Zanzibar siku ya Ijumaa Jan 17, 2014 Washington DC.

Mahojiano haya yameandaliwa na mwanaharakati Anu Khelef kutoka Leicester nchini Uingereza

Ungana nasi kwa kusikiliza

No comments:

Post a Comment