Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Wilbrod Slaa alipohojiana na mwanachangamoto wetu Mubelwa Bandio
Jamii Production imepata fursa ya kipekee kuhojiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr. Wilbrod Slaa Hii ni sehemu fupi ya mahojiano haya yaliyodumu kwa dakika 90
Lakini pia msikilize alivyozungumzia kesi ya mwekezaji aliyedhulumiwa mali zake katika jimbo la Karatu ambalo yeye (Dr Slaa) alikuwa mbunge kwa miaka 15
No comments:
Post a Comment