Rais Kikwete amewashukuru mabalozi hao wa heshima kwa kukubali kwao kuitangaza Tanzania nchini Marekani na kusema sio kazi rahisi lakini ana Imani nao na aliwatakia kila la kheri ya kuwa na nia thabiti ya kuitangaza Tanzania nchini Marekani.
Hii ni sehemu ya ripoti ya Jamii Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es Salaam Tanzania. Hii ilikuwa ripoti ya Septemba 7, 2013
Na watangazaji wetu Bahati Alex kutoka Capital Radio Jijini Dar es Salaam akiwa na Mubelwa Bandio wa Jamii Production Washington DC
Hii ilikuwa ripoti ya Septemba 21, 201
No comments:
Post a Comment