Mjadala unaosuasua juu ya sheria za kumiliki silaha nchini Marekani unaonekana kuanza kukolea upya baada ya mauaji ya watu kumi na mbili yaliyotokea mapema wiki hii katika jiji la Washington DC nchini humo.
Sikiliza ripoti hii ambayo ni sehemu ya ripoti ya Jamii Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90
ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es
Salaam Tanzania kila Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi (7:30am).
Hii ilikuwa ripoti ya Septemba 21, 2013
Na watangazaji wetu Bahati Alex kutoka Capital Radio Jijini Dar es Salaam akiwa na Mubelwa Bandio na Abou Shatry wa Jamii Production Washington DC
No comments:
Post a Comment