TUMEHAMA / WE HAVE MOVED

TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI YETU MPYA WWW.JAMIIPRODUCTION.COM (bofya hapa)

PLEASE VISIT OUR NEW WEBSITE WWW.JAMIIPRODUCTION.COM (click here)

TUMEHAMA. TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI YETU MPYA WWW.JAMIIPRODUCTION.COM..........WE HAVE MOVED. PLEASE VISIT OUR NEW WEBSITE WWW.JAMIIPRODUCTION.COM

Kipindi kipya cha FAMILIA toka Jamii Production....MALEZI YA WATOTO

JAMII tuliyonayo sasa ni matokeo ya wazazi na walezi waliotangulia.
Na...
Jamii tutakayokuwa nayo, itatokana na wazazi na walezi wa sasa (ambao ni kila mtu)
Ukweli ni kuwa..
DUNIA INABADILIKA. Na waliomo pia
Je!
Kuna tofauti gani (chanya na hasi) katika MALEZI ya zamani na sasa? Na vipi kuhusu malezi ya Afrika Mashariki na Tanzania?
Na ni nini kinaweza kufanyika kuboresha kizazi kijacho kwa kulea vema zaidi watoto wa sasa?
Unadhani malezi yetu ya sasa yanaendana na namna tunavyotaka wanetu wakue?
UNGANA NASI KATIKA KIPINDI HIKI CHA FAMILIA kujua zaidi



Mtayarishaji na Mtangazaji wa kipindi cha FAMILIA Dada Ndeletwa C. Lema akifurahia jambo wakati wa kipindi katika Studio za Jamii Production, Washington DC.

Mmoja wa wachangiaji wa kipindi cha FAMILIA Mama Martha akisikiliza kwa makini mchango katika mada iliyohusu   jitihada za malezi ya watoto ndani ya familia zetu, kilichotayarisha na  Dada Ndeletwa C. Lema ndani ya Studio ya Jamii Production.

Msimamizi na mboreshaji  vipindi vya Jamii Production Abou Shatry  akichangia na kusikiliza mada inayohusu malezi ya watoto ndani ya familia zetu, kilichotayarisha na  Dada Ndeletwa C. Lema ndani ya Studio ya Jamii Production.

 Mmoja wa wachangiaji wa kipindi cha Familia Dada Oliver Lyimo, akichangia na kusikiliza mada inayohusu malezi ya watoto ndani ya familia zetu, kilichotayarisha na  Dada Ndeletwa C. Lema ndani ya Studio ya Jamii Production.

Muongozaji wa kipindi cha Familia Dada Ndeletwa C. Lema akifafanua jambo

Muongozaji na pia mchangiaji wa kipindi cha Familia  Mubelwa Bandio akisisitiza Jambo kabla ya kuanza kurekodi kipindi ndani ya Studio ya Jamii Production.

No comments:

Post a Comment