Muendeshaji kipindi Mubelwa Bandio akiwa "KITINI"
Moja kati ya wanaharakati wa Jumuiya ya waKenya DMV na pia Mtangazaji wa KIPINDI HIKI CHA ONE MIC SHOW (kitembelee hapa) Washington DC Ali Badawy akiwa makini katika kipindi ndani ya Studio ya Jamii Production, Washington DCni
Mwanaharakati mwingine, ambaye pia ni mtangazaji wa KENYA ONLINE RADIO (itembelee hapa) Mwalimu Mkawasi Mcharo Hall akiwa makini katika kipindi ndani ya Studio ya Jamii Production iliopo Washaington DC nchini Marekani.
Wanaharakati wa Jumuiya ya waKenya DMV Mwalimu Mkawasi Mcharo Hall alipokua akufanya mahojiano na Jamii Production kuhusu shambulio la mauwaji ya Westgate Mall siku ya Jumamosi Sept 29 ndani ya Westgate Mall jijini Nairobi Kenya.

No comments:
Post a Comment